How to print student id Last Modified On: 2021-10-26 07:28:16.707591

Redesign of the ID card. 

kwenye vitambulisho paengezewe margin that separates the head and the detail of the person.

Logo ionekane moja kutokana na space kwasababu zina appear mbili upande miwili ya kitambulisho.

Paengezwe sehemu ambaye muhusika atakua anauwezo wa kusign.

deatail za mtu zishuke chini kidogo mana maeneno yamebanana.